Soundcloud

MUSIC VIDEO: Finally – Go Down

Msanii mpya kutoka katika kampuni mpya ya muziki nchini Tanzania ya Pili Pili music Mania anayejulikana kwa jina la Finally ameachia nyimbo yake mpya inayojulikana kwa jina la Go Down ikifanywa na Producer Gerry Beats pia Director akiwa ni CreatorPro.

Post a Comment

0 Comments