Kesi iliyokuwa inaunguruma kuanzia tarehe 29.02.2016 katika mahakam kuu jijini Arusha imetolewa hukumu leo.
Katika shauri hilo aliyekuwa mgombea ubunge wa CCM jimbo la Longido Dr
KIRUSWA alifikisha mahakamni shauri hilo la kupinga matokeo ya ushindi
dhidi ya mbunge wa Longido mh ONESMO NANGOLE
Akisoma hukumu hiyo,Jaji MWAGESI alisema kwamba mlalamikaji ndugu
Kiruswa aliwakilishwa na Wakili Dr.Masumbuko Lamwai na Wakili Haraka. Katika shauri hilo,dai la msingi la mlalamikaji bwana Kiruswa lilikua ni 1.Kutumika kwa lugha ya matusi na kashfa wakati wa kampeni kutoka kwa mh Onesmo Nangole 2.Kuwepo kwa wapiga kura kutoka nchi jirani ya Kenya walioletwa na Mh Nangole 3.kutumika kwa magari ya Chadema kwenye kusindikiza na kubebea masanduku ya kupigia kura 4.Mkurugenzi wa Uchaguzi kutangaza matokeo baada ya mgombea wa CCM kutolewa nje. 5.kutokea kwa vurugu ndani ya chumba cha kuhesabu matokeo
Kutokana na madai hayo na kwa kuzingatia kanuni,sheria na ushahidi
uliotolewa pamoja na vielelezo na mashahidi wa pande zote mbili,Jaji
kutoka mahakama kuu Bukoba Mh.Jaji Mwagesi alisema; “Kutokana na kuzingatia viini vyote vya shauri hili kama vilivyosikilizwa na kwa mujibu wa sheria,Natamka kwamba; Mahakama hii imetengua shauri hili na kwa kujirisha kwamba mchakato mzima haukuwa wa haki."
Post a Comment
0
Comments
AFRIKAAFYAAJIRA MPYAAll Africa NewsBIASHARABREAKING NEWSbrudaniBUNGENIBURUDANIDUNIANIELIMUFAHAMUHABARIHABARI VIDEOHABARI ZA HIVI PUNDEHUZUNIIKUFIKIEJOBKENYAKIMATAIFAKITAIFALIFE STYLEMA0NI HURUMAGARIMAGAZETIMAGUFULIMAISHA YA GHARAMAMAJUUMAKALAMAPENZIMASTAAMATOKEOMATUKIOMICHEZOMIKOANIMIXMOHAMMED ALIMOVIEMUBASHARANAFASI ZA KAZINEW AUDIORELATIONSHIPremixREPORTSIASASIASA KIMATAIFASOCIAL MEDIATAARIFATANZIATEKNOLOJIATUNDU LISSUTUZOUCHOKOZIUK NEWSPAPERUKATILIUTAFITIUTANI WA MAGUFULIVIDEOVIDEO MPYAVIDEO:HISTORIA
0 Comments