Imebaki siku moja tu michuano ya mataifa ya Ulaya maarufu kama Euro 2016 hatua ya robo fainali ianze, najua tayari umeshazifahamu timu 8 zilizofanikiwa kufika katika hatua ya robo fainali itakayoanza kuchezwa kesho June 30 2016, kabla ya kuanza kwa robo fainali naomba nikusogezee mkusanyiko wa magoli bora yaliofungwa katika hatua ya Makundi.





0 Comments