Anaitwa Charles Njagua Kanyi A.K.A Jaguar ni mwanamziki kutoka Kenya jamaa anatajwa kuwa ndiye msanii ambaye analipwa zaidi Afrika Mashariki..
 |
| Jaguar
|
 |
| Add caption |
Msanii Jaguar baadhii ya nyimbo zake ni ama vile Kiooo,Fanya mambo na kadhalia.Hivi aribuni ametajwa kuwa anampango wa kuingia katika siasa na baadhi ya marafiki zake wakiwa ni Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.
 |
| Jaguar akiwa na Rais Uhuru Kenyatta |
 |
| Jaguar akiwa na moja ya Tuzo zake |
Jaguar anamiliki kampuni y a ulinzi nchini Kenya,anamiliki pia Gereji.Kwa upande wa Magri anamiliki Jaguar,Range Rover Sport,Lexus na Mercedes Benz.
 |
| Moja ya Magari yake ya Bei Mbaya |
Anamiliki nyumba yenye thamani ya pesa za Kenya Shilingi 80M
 |
| Nyumba anayomiliki Jaguar na baadhi ya magari yake ya gharama |
|
Pia anamiliki ndege yake Binafsi
 |
| Jaguar akiongea pembeni ya Ndege yake |
Utajiri wake unakaribia Dola za kimarekani $30M
0 Comments