Marekani inasema kuwa rais wa syris Bashar Al-Assad anajidanganya ikiwa anaamini kuwa kuna suluhu la kijeshi wa mzozo ulio nchini mwake.
 |
Mapigano nchini SYRIA |
Wakati huo huo viongozi wa dunia wanaokutana mjini Munich wameafikia Makubaliano yenye lengo la kumaliza ukatili nchini Syria ndani ya wiki moja.
 |
Raisi Assad wa Syria |
Lakini makundi ya waasi yanasema kuwa hayataweka silaha chini hadi Urusi iache kuwashambulia na kuhakikishiwa kuwa Asasad ataondolewa madalakani.
CHANZO:BBCSWAHILI.COM
0 Comments