Mkali wa zamani wa maigizo, Sinta ambae alitamba na skendo kibao kipindi
hicho na unaambiwa yeye ndiyo wa kwanza kuwa na skendo kubwa Bongo,
amefunguka na kueleza kwa sasa ana ishu gani mjini.
Sinta ambaye alikuwa pia muigizaji mahiri anasema “Kwa sasa sitaki tena
kujiingiza katika bongo move najishughulisha na biashara zangu binafsi
na nipo katika hatua za mwisho kukamilisha lebo yangu ya wasanii wa
bongo fleva.”
Hata hivyo Sinta alimalizia kwa kusema kwa sasa anawaachia machipukizi
wanaoibukia katika bongo move nao kufanya vizuri na kusongeza saana ya
bongo na pia hataki tena maswala ya skendo za aina yeyote huku akisema
kwa sasa anamsimamia msaniianayejulikana kwa jina la Tino ndo ambaye
taari yupo katika lebo yake.
eatv.tv
Post a Comment
0
Comments
AFRIKAAFYAAJIRA MPYAAll Africa NewsBIASHARABREAKING NEWSbrudaniBUNGENIBURUDANIDUNIANIELIMUFAHAMUHABARIHABARI VIDEOHABARI ZA HIVI PUNDEHUZUNIIKUFIKIEJOBKENYAKIMATAIFAKITAIFALIFE STYLEMA0NI HURUMAGARIMAGAZETIMAGUFULIMAISHA YA GHARAMAMAJUUMAKALAMAPENZIMASTAAMATOKEOMATUKIOMICHEZOMIKOANIMIXMOHAMMED ALIMOVIEMUBASHARANAFASI ZA KAZINEW AUDIORELATIONSHIPremixREPORTSIASASIASA KIMATAIFASOCIAL MEDIATAARIFATANZIATEKNOLOJIATUNDU LISSUTUZOUCHOKOZIUK NEWSPAPERUKATILIUTAFITIUTANI WA MAGUFULIVIDEOVIDEO MPYAVIDEO:HISTORIA
0 Comments