Soundcloud

Foby ft Karen & IbraNation Kitanda

Msanii na mwandishi wa nyimbo wiki ilopita aliachia video ya wimbo wake unaitwa kitanda akiwa amemshirikisha Ibranation na Mtoto wa mtangazaji maarufu nchini Gardner G. Habashi "Captain", aitwaye Karen. Itazame HAPA.

Post a Comment

0 Comments