Soundcloud

Video: A Day with Mimi Mars (Mdogo wake Vanessa Mdee – Episode 1

Mdogo wake na Vanessa Mdee, Mimi Mars ana hatua chache tu za kuufikia ustaa. Naye amefuata nyayo za dada yake katika utangazaji wa TV. Hapa anakuletea episode ya kwanza ya show yake inayoangalia anachokifanya kila siku.