Headlines za Mr Blue kuwa na mawasiliano na Ex wake wa zamani Najma zimechukua nafasi sana kwenye mitandao ya kijamii, sasa leo August 30, 2016 kaeleza ukweli kuhusiana na tetesi hizo.
Kupitia millardayo.com na Ayo TV star huyo aliipata heshima na kuyaongea haya>>>Sio
kweli na ndio kitu ambacho kimenipa hasira kwasababu mpaka mke wangu
amekasirika sana nashangaa wameongea kwenye radio kwamba mimi nimempigia
Najma’

‘Ukweli
ni kwamba yeye alinipigia na kuomba kufanya collabo na mimi kwahiyo
nilimwambia kwanza itabidi nizungumze na mke wangu maana anajua nilikuwa
nae kwenye uhusiano kwahiyo itabidi afahamu kwamba lakini imekuwa
tofauti kabisa na watu wanavyoongea’

credit:Millardayo.com

0 Comments