Drake amenunua Bango kubwa la barabarani kumpongeza Rihanna anayedaiwa kuwa mpenzi wake kwa tuzo ya heshima atakayopokea Jumapili hii kwenye tuzo za MTV VMA.
Bango hilo kubwa limeandikwa, “Congratulations to Rihanna from Drake and everyone at OVO,” Rihanna amepost picha ya Bango hilo na kuandika “When he extra” pembeni ya emoji ya moyo.



