Moja kati ya vitu ambavyo hautakiwi ukose kuvitazama kama wewe ni shabiki wa WCB ni pamoja na hii video Harmonize aliposhiriki BSS miaka 6 iliyopita na alichoambiwa na majaji waliokuwa wanasimamia shindano hilo.Isikupite video hapo chini.Itazame.
TAZAMA VIDEO HAPA



